Burudani Billnass afunguka kuhusu kilichopo kati yake na Godzilla

Kutokana na hali hiyo Billnas amekiri kupigiwa simu na Godzilla akimpa ushauri na kumtia moyo kwa kile anachokifanya akisema pia kuwa uhusiano wao uko vizuri na mara nyingi ‘King Zilla’ amekuwa akisikiliza nyimbo zake.
Mbali na hayo, Billnas pia amegusia inayoitwa vita ya maneno kati ya Godzilla na Wakazi akisema hawezi kuingilia kwa sababu inawezekana wawili hao wamepanga au wanajua wenyewe kwa kuwa mambo hayo yalishakuwepo tangu zamani.
Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Fullstory
Comments
Post a Comment