Posts

Burudani Billnass afunguka kuhusu kilichopo kati yake na Godzilla

Image
Staa anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongofleva Billnas amekana taarifa zinazodai kuwa ana tofauti na staa mwingine wa Bongofleva Godzilla akisema hana tatizo naye na ameshakutana naye mara nyingi ingawa kuna watu wanadai hivyo. Kutokana na hali hiyo Billnas amekiri kupigiwa simu na Godzilla akimpa ushauri na kumtia moyo kwa kile anachokifanya akisema pia kuwa u husiano wao uko vizuri na mara nyingi ‘King Zilla’ amekuwa akisikiliza nyimbo zake. Mbali na hayo, Billnas pia amegusia inayoitwa vita ya maneno kati ya Godzilla na Wakazi  akisema hawezi kuingilia kwa sababu inawezekana wawili hao wamepanga au wanajua wenyewe kwa kuwa mambo hayo yalishakuwepo tangu zamani. Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Fullstory

PICHA 12: Muonekano wa Bustani ya Askari Monument DSM baada ya maboresho

Image
EXCLUSIVE: Mpigapicha aeleza kuhusu picha za bila nguo alizompiga Ben Pol…tazama kwenye VIEDO hii hapa chini kwa kubonyeza PLAY!!!

HAYA HAPA

HAYA HAPA

Jicho la mchezaji latoka akiwa uwanjani

Image
 Akil Mitchell (kulia) kutoka jimbo la Carolina Kaskazini anatarajiwa kurejea uwanjani kucheza karibuni Mchezaji wa mpira wa kikapu nchini New Zealand Akil Mitchell amesema anapata nafuu baada ya jicho lake kutoka alipokuwa uwanjani akicheza. Mitchell huchezea klabu ya New Zealand Breakers, na alikuwa mjini Auckland kucheza mechi ya NBL ya Australia Alhamisi usiku kisa hicho kilipotokea. Mchezaji wa timu pinzani aliingiza kimakosa kidole ndani ya tundu la kishimo cha jicho na ghafla jicho lake likatoka nje. Mchezaji huyo mzaliwa wa Marekani alianguka sakafuni akiwa ametumia mikono yake kufunika jicho lake la kushoto na akakimbizwa hospitalini. "Kwa viganja vya mkono wangu, nilihisi mboni ya jicho ikiwa nje na kukaa upande mmoja wa uso," aliambia Radio Sport ya New Zealand. "Bado jicho hilo lilikuwa linaona." "Nakumbuka nikifikiria, bwana we ... hii ni hali mbaya, lakini nilihisi kwamba lilikuwa jambo la kushangaza na hapo ndipo niliingiwa...

VIDEO

Image

Russia says spyware found in state computer networks

Image
A general view shows the headquarters of the Federal Security Service (FSB) (L) in central Moscow, Russia, November 10, 2015. REUTERS/Sergei Karpukhin July 30, 2016 MOSCOW (Reuters) – Russia’s intelligence service said on Saturday that the computer networks of 20 organizations, including state agencies and defense companies, have been infected with spyware in what it described as a targeted and coordinated attack. The Federal Security Service, the FSB, said the malware and the way the networks were infected were similar to those used in previous cases of cyber espionage found in Russia and other countries. The agency did not say who it suspected of being behind the attacks. “Information technology resources of government agencies, scientific and military institutions, defense industry companies and other entities involved in crucial infrastructure have been infected,” the FSB said in a statement on its website. The FSB’s announcement f...

Greek central bank head sees primary surplus at 1.3 percent of GDP: report

Image
People make their way next to the headquarters of Bank of Greece in central Athens, Greece, October 30, 2015. REUTERS/Alkis Konstantinidis July 30, 2016 ATHENS (Reuters) – Greece’s central bank forecasts the country will post a primary surplus of 1.3 percent of gross domestic product (GDP) this year, its governor Yannis Stournaras told a Greek newspaper. Under its third international bailout signed last summer, Greece aims at a primary surplus – which excludes debt servicing costs – of 0.5 percent of GDP this year. The bank had forecast earlier this month the country would achieve a surplus of 0.9 percent this year. “Fiscal hurdles for 2016 have been overcome and the forecast by the (central) Bank of Greece is that the year will close with a primary surplus of 1.3 percent of GDP,” Stournaras was quoted as saying by Sunday’s To Vima newspaper. He said that, therefore, Greece has fiscal room and will not need to ac...