Posts

Showing posts from June, 2017

Burudani Billnass afunguka kuhusu kilichopo kati yake na Godzilla

Image
Staa anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongofleva Billnas amekana taarifa zinazodai kuwa ana tofauti na staa mwingine wa Bongofleva Godzilla akisema hana tatizo naye na ameshakutana naye mara nyingi ingawa kuna watu wanadai hivyo. Kutokana na hali hiyo Billnas amekiri kupigiwa simu na Godzilla akimpa ushauri na kumtia moyo kwa kile anachokifanya akisema pia kuwa u husiano wao uko vizuri na mara nyingi ‘King Zilla’ amekuwa akisikiliza nyimbo zake. Mbali na hayo, Billnas pia amegusia inayoitwa vita ya maneno kati ya Godzilla na Wakazi  akisema hawezi kuingilia kwa sababu inawezekana wawili hao wamepanga au wanajua wenyewe kwa kuwa mambo hayo yalishakuwepo tangu zamani. Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Fullstory

PICHA 12: Muonekano wa Bustani ya Askari Monument DSM baada ya maboresho

Image
EXCLUSIVE: Mpigapicha aeleza kuhusu picha za bila nguo alizompiga Ben Pol…tazama kwenye VIEDO hii hapa chini kwa kubonyeza PLAY!!!