MASKINI ,ZOUMA WA CHELSEA ATAKUWA NJE KWA MUDA HUU HAPA
Unaweza ukasema huu ni msala! Beki wa Chelsea Kurt Zouma atakaa nje kwa miezi sita.
Zouma aliumia katika mechi dhidi ya Manchester United jana wakati akishuka baada ya kuruka kupiga mpira.
Maana take beki huyo kutoka Ufaransa atakosa msimu wore wa Ligi Kuu England.
Pia
atakosa michuano ya Euro 2016 ambayo inafanyika nchini mwaka Ufaransa
na alikuwa mmoja wa kikosi cha timu ya taiga ya Ufaransa.

Comments
Post a Comment